Nobody is safe 4 Official Lyrics Video











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Rw6ELTFojrw

Official lyric video of the song Nobody is safe 4 • Graphic designed by Ringle Beats • Theme designed by Ringle beats • Lyrics composed and written by Dizasta Vina • Official music video -    • Dizasta Vina - Nobody is safe 4 (Offi...   • Official music audio - https://audiomack.com/dizastavina/son... • Official music lyrics - https://genius.com/Dizasta-vina-nobod... • • Other Musical contents • Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina • YouTube -    / dizastavina   • Deezer - https://www.deezer.com/artist/67967532 • Apple music - https://artists.apple.com/a/profile • Mdundo - https://mdundo.com/a/2263 • Genius - https://genius.com/DizastaVina • Boom play - https://www.boomplay.com/artists/3288... - https://artists.spotify.com/c/artist/... • Connect with Dizasta Vina on social medias • Instagram -   / dizastavina   • Twitter -   / dizastavina   • Facebook -   / dizastavina07   • https://sw.wikipedia.org/wiki/Dizasta... • Business: [email protected] • Website - https://bio.link/dizastavina • Somebody gotta die today • (Ringle this one’s classic men) • • Ah! Haters, Haters • Nimekuja kuwapa msongo wa mawazo, mi’ ni pay cut • Nilikotoka bingwa, Ila jamii imeshiba sana ujinga • That’s the reason I’m not famous • Haters, haters • Nimekuja na uthibitisho your favorite rapper is lame ass • An Orthrodox delivery, since way back • Kama K-Dot, look my bar game is A-plus • Ushasikia kua maemcee wanatisha sana (waongo) • Nilipofika walifikiria kuhama (bongo) • Logo ni chafu, mgongo na mbavu • Mbombo ni ngafu napotingisha alichonipa mama (Ubongo) • I eat people • Nyoko kila ukinifata ume-beep kifo • Wanamaabara walinikata nika-bleed vito • Infinite sign sifiki mwisho ndio naanza • Uh! Na huu ni mfano wa ma-group saba ya wezi • Nyoko hata ukiwa Sugu hapa hauchezi • Waulize makada natema ngumu sana haumezi • Utaishia kuomba msaada kwa Mungu baba mwenyezi. Bless • Ah • Eyoo sicheki na wapuuzi • Nipo OG emcee si-dress na mapuli • Kesi ni ya Shakespeare, Tenzi mia, bongo mpaka UG • Ma-emcee hawanipendi kama nduli • Nasimama kama Eiffel Tower naangaza jiji • Ambalo nipo tangu ma-star wa bongo hawajaanza kiki • Kabla vimbelembele hawajaenda nyuma • Nika-lay low bendera ya chuma mlingoti wa chuma • Mi ni zigi ninayeficha stimu mtaani wananijua kama mshindi • Sauti ya mamlaka napoamua hawapingi • Kama anavyoamua mdingi kwenye vikao vya dharura • Imesheheni Medulla, vingi navijua na siringi jamaa • Kikatili ninapoisafiri mento • Ni mfano wa jangili waliemkabidhi beto • Wanabadili nyenzo, napojadili angles tofauti • Kama nabii jinsi nnavyoitabiri kesho • Ah, Sijui mwisho ila najua niende wapi • Mtaa umeniita wito niitike niitende kazi • Nakomaa sio simple, licha ya kusemwa na wasengenyaji • Nageuka kifo, idea inayofanya mkakeshe church • Ah! Asili kama masai na lubega • Wastani wa sukari unaofanya chai inapendeza • Sauti ya umma natangaza rai inaeleweka • Naishi uswazi ila natema yai kama vegan • Ma-code ya ki-programmer, Nani wa ku-compare • Ball player nadondosha record pro kama • NBA athlete, Level soo sana • Controversial kama September eleven na Osama • Ah, Sina makuzi ya kubuni vyama • Sivumi kama trending za leo, emcee naishi future • Ila nna maufundi tangu jana • Napitwa na upuuzi maana maufundi yamejazana • Bahati mbaya yamezibwa, wanadhani ni adimu • Madini yamefanywa siri kama marking scheme • Nami sipigi magoti sizitaki hizi team • Nachotaka ni mishkaki na ndimu • Nirumangie ma-emcee maana sijala tangu juzi nina njaa kali • Ninalea wanafunzi na madaftari yao • Wanageuka wakufunzi kwenye mahafali • Kichwa kimetapakaa books kama library • Style yangu ime-inspire the culture • Ime inspire the Nengos, the Shaulins, the Nachas • The Boshoos, the Killers, the Maarifa, the Rapchas • Nimeacha DNA hata nikidanja sina deni tena • Master… ah, Na-move ka’ Cobra • Simba wa Teranga alafu nina nguvu zaidi ya Drogba • Natengeneza pesa kwa ufundi niliojenga bure • Mtaani naishi kiswazi utadhani sijaenda shule • My game plan is a mystery, kama aliyemteka Mo • Na-change gear from hero to superhero • From defense to striker mode • See, now you see me, now you don’t, peek a boo • My pen game’s impeccable • Forget the rest I’m a true rival • Mnaimba matusi sana kwa maana bongo zenu ni too idle • My next bar is a cheat code no, my last bar is the cheat code • Every bar is too vital • Tulia mwaya hapa wabaya wana-worship • Ni vile wanaona haya ku-report kwamba wanataka-retire • Siwezi kwenda sawa na wanaizaya wanaonigwayagwaya • Huku wana-inspire gossip • Sound amplified and so the message • Look, street verified legend (and) No crown on my head • Ask around I’d be claimed by the crown • King of underground literally I’m down to the earth • Shuhudia master kazini • Amesimamisha kichwa kinamwaga madini • Amekuja na mada ya kufunga chapter makini • Halafu yuko huru dhidi ya siasa na dini • Emcee nimeketi mahala ukweli umesimama • Kwa kina kirefu meli zilizosheheni zinazama • Nimejificha ka’ kibabu cha imani • Moyoni sina hila nimezika vitabu kichwani • Panorama taifa langu • Nimeketi soldier, Verse moja • Nas..

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org