Miano Blaze Sikomi Kupenda Lyrics video
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=SK88iF5BqhQ
Artist : Miano Blaze • Song :Sikomi Kupenda • Produced at Blaze House Music • Mix mastered : Miano Blaze • Video : Haziq wise • contact Miano Blaze +254 727 000 903 • watch out dear ex link belowπ • • Video • • Watch out Nimezama link below π • • Miano Blaze - Nimezama ( Visualizer v... • Watch out tunapendana link below π • • Video • • Kindly add me on instagram π • https://www.instagram.com/mianoblaze?... • • Tik tok ππ • https://www.tiktok.com/@mianoblaze?_t... • • • Lyrics : • Nimeachwa mara mingi sijakufa • Mapenzi yana mbio zaidi puta • Masimango yasifanye nikajuta • sipoziba ufa utajenga ukuta • Leo nikaachwa kesho nitapenda • Heartbreak kwangu hio sio agenda • Niliwahi penda nkaachiwa madenda • Moyo sukuma damu ,akili sasa penda • Mapenzi kama utaniua niue • kama utanimaliza nimalize • Ila siachi kupenda • Tena sikomi kupenda • Bado nitapenda • Mimi nitapenda • Sikomi kupenda • Nikiachwa bado nitapenda • Bado nitapenda • Mimi nitapenda • Sikomi mi kupenda • Nikitemwa bado nitapenda • Wanasema nina wengi sana • Na Hawajui nimetendwa • naaachwa bila taarifa • Ninapenda pia bila taarifa • Leo nikaachwa kesho nitapenda • Heartbreak kwangu hio sio agenda • Niliwahi penda nkaachwa madenda • Moyo sukuma damu ,akili sasa penda • • Mapenzi kama utaniua niue • kama utanimaliza nimalize • Ila siachi kupenda • Tena sikomi kupenda • Bado nitapenda • Mimi nitapenda • Sikomi kupenda • Nikiachwa bado nitapenda • Bado nitapenda • Mimi nitapenda • Sikomi mi kupenda • Nikitemwa bado nitapenda • Leo nikaachwa kesho nitapenda • Heartbreak kwangu hio sio agenda • Niliwahi penda nkaachiwa madenda • Moyo sukuma damu ,akili sasa penda • Wanasema nina wengi sana • Na Hawajui nimetendwa • naaachwa bila taarifa • Ninapenda pia bila taarifa • Mapenzi kama utaniua niue • kama utanimaliza nimalize • Ila siachi kupenda • Tena sikomi kupenda • Bado nitapenda • Mimi nitapenda • Sikomi kupenda • Nikiachwa bado nitapenda • Bado nitapenda • Mimi nitapenda • Sikomi mi kupenda • Nikitemwa bado nitapenda • #sikomikupendabymianoblaze #sikomi #mianoblaze #africanmusic #lovesongs
#############################
