Anayekula Mwili Wako Sauti Tamu Melodies wimbo wa Kupokea Ekaristikomunyo











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Sh0R_fYfTzM

Anayekula mwili wangu, na anywaye damu yangu • anaishi ndani yangu, ye hatakufa milele • Yesu wangu nakuomba, nishibishe na mwilio • Nayo damu yako ninywe, japo sistahili mimi • wimbo wa Ekaritia, sherehe ya Mwili na Damu ya Yesu, Corpus Christi • Anayekula Mwili Wangu - Traditional • umeimbwa na Sauti Tamu Melodies, • producer - Martin Munywoki • harmony - Tumshangilie Bwana • instruments - Martin Munywoki • Tazama nyimbo nyingine kwa channel hii kama nikupe nini Mungu wangu, sasa wakati umefika, nitakwenda mimi mwenyewe, hii ni ekaristi, aulaye mwili wangu, nimewalisha kwa unono wa ngano • • • #sautitamu #kwayakatoliki • kwa nyimbo zaidi za kikatoliki fuatilia channel nyinginezo kama Rajo Production, Tanganyika productions, Holy Trinity Studios, n.k • ubarikiwe

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org