Live ▶ Ibada Ya Morning Glory 12 08 2024











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=WPTQDKZ46CM

Karibu katika Ibada ya Masifu ya Asubuhi kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam. • ▶ SOMO: NAMNA YA KUSHUGHULIKIA VITA YA KUTOKA TUMBONI • • 1 PETRO 1: 18 - 19 • 18 Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; • 19 bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo. • ............................. • ZABURI 28: 6 - 9 • 6 Na ahimidiwe BWANA. Maana ameisikia sauti ya dua yangu; • 7 BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu. Moyo wangu umemtumaini, Nami nimesaidiwa; Basi, moyo wangu unashangilia, Na kwa wimbo wangu nitamshukuru. • 8 BWANA ni nguvu za watu wake, Naye ni ngome ya wokovu kwa masihi wake. • 9 Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako, Uwachunge, uwachukue milele. • • ISAYA 49: 1,5 • 1 Nisikilizeni, enyi visiwa; tegeni masikio yenu, enyi kabila za watu mlio mbali sana; BWANA ameniita tangu tumboni; toka tumbo la mama yangu amenitaja jina langu. • 5 Na sasa BWANA asema hivi, yeye aliyeniumba tangu tumboni niwe mtumishi wake, ili nimletee Yakobo tena, na Israeli wakusanyike mbele zake tena; (maana mimi nimepata heshima mbele ya macho ya BWANA, na Mungu wangu amekuwa nguvu zangu); • • WAAMUZI 8: 22 • 22 Ndipo watu wa Israeli wakamwambia Gideoni, Tawala wewe juu yetu, wewe, na mwanao, na mjukuu wako pia; kwa kuwa wewe umetuokoa na mikono ya Midiani. • • WAAMUZI 6: 1 -2 • 1 Kisha wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya BWANA; BWANA akawatia mikononi mwa Midiani muda wa miaka saba • 2 Mkono wa Midiani ulikuwa na nguvu juu ya Israeli; tena kwa sababu ya Midiani wana wa Israeli walijifanyia hayo mashimo yaliyo milimani, na hayo mapango, na hizo ngome. • WAAMUZI 6: 12 - 15, WAAMUZI 6: 25 - 26 • .......................................... • ▶ Mhubiri: Mwl. Jacob Mlawi • ..................... • 👇👇👇 • // NAMBA ZA SADAKA // • ▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4 • ▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174 • JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL • ▶ MAENDELEO BANK • A/C NO 0137 9274 6021 • JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL • TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI: • Instagram page: • / kkkt_azaniafront_cathedral • Website: https://www.azaniafront.org/ • Facebook: • / kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079 • #azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour #morningglory #sundayservice #lutheran

#############################









Content Report
Youtor.org / Youtor.org Torrents YT video Downloader © 2024

created by www.mixer.tube