Highlights Yanga 11 Nyasa Big Bullets Kagame Cup 01082021
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=WPZru_wP-aw
Yanga na Nyasa Big Bullets ya Malawi zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 inayofanyika jijini Dar es Salaam. • Goli la Yanga limefungwa na Wazir Junior dakika ya 7 wakati Nysa wakisawazisha kwa penati kupitia kwa Chiukepo Msowoya baada ya Abdallah Shaibu 'Ninja' kufanya madhambi. • Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- • ►INSTAGRAM: / azamtvtz • ►INSTAGRAM: / azamsports2 • ►TWITTER: / azamtvtz • ►FACEBOOK: / azamtvtz • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#############################
