RAIS SAMIA AKAMILISHA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ILIYOASISIWA NA JPM
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Wj2JLowT8rc
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha lami Wilayani Sumbawanga. • Dkt. Samia ameweka jiwe la msingi leo Julai 17, 2024 Mkoani Rukwa na kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa barabara ya Kaengesa - Seminari ambayo ni moja ya ahadi ya Mheshimiwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mnamo mwaka 2019 Mkoani humo. • #wizarayaujenzi #samiasuluhuhassan
#############################
