Quick Rocka Love Song Official Audio
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=X3U7dPIW7f0
#QuickRocka #LoveSOng • Lyrics: • Rocka …. Quick • Huwa napenda rangi yako hiyo inayowakawaka, • Mwendo wako huo unavyonatanata • Figure yako hiyo ndio ilionifanya nidate na wewe, • Napenda macho yako hayo unaponiangalia • Upishi wako mamy unaponikia • Fundi kitandani,me ndo nadata na wewe. • *Nakupenda,sioni neno lenye uzito kukwambia zaidi ya Nakupenda, • Wewe ndio mwanzo na mwisho wa mapenzi yangu yote • Nakupenda aaaah aaaaah! • Siwezi kukuacha nishakula kiapo kwamba Nakupenda • Baby ooooh mamaa! • (I Love you ….. Love you) • Na pia napenda tabia yako • Tabasamu lako • Nikikutazama sipepesi macho • Nimebarikiwa kuwa na uwepo wako ndo maana, • Ndo maana napenda kukutazama • Maji marefu nimezama, • kurukaruka ndio Basi tena vyuma vineumana • Mapenzi ni matamu kuliko Fanta na enjoy ndio maana . • *Nakupenda,sioni neno lenye uzito kukwambia zaidi ya Nakupenda, • Wewe ndio mwanzo na mwisho wa mapenzi yangu yote • Nakupenda aaaah aaaaah! • Siwezi kukuacha nishakula kiapo kwamba Nakupenda • Baby ooooh mamaa! • (I Love you ….. Love you) • Switcher Baba… • • (C) Switch Music • • Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: • https://ffm.to/quickrocka • Written Performed by Quick Rocka • Follow QuickRocka on: • / quickrocka • / quickrocka • • Channel Administered by Slide Digital • Instagram: / slidedigitaltz
#############################
