UTUKUFU OFFICIAL VIDEO Christ the King Catholic Church Choir Masii Parish
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=XWUDupxYwX8
Available on all platforms: https://album.link/ke/i/1753234080 • Performers: Christ the King Catholic Church Choir - Masii • Producer: Verony Productions Ltd. • Copyright ©Verony Productions Ltd. • Utukufu juu kwa Mungu Baba, • Utukufu juu mbinguni, • Na amani kote duniani Baba, • Kwa watu wenye mapenzi mema *2 • Twakusifu Baba, tunakuheshimu • Tunakuabudu, tunakutukuza *2 • Ewe Mungu ndiwe, Mfalme wa mbinguni, • Mungu Baba Mwenyezi, Mungu Baba Mwenyezi • Tunakushukuru mwenye utukufu, • Mfalme wa mbinguni, Mungu Baba yetu • Mwana Yesu Kristu, mwana wa pekee, • Ee mwanakondoo, mwana wake Baba *2 • Mwenye kuzifuta dhambi za dunia, • Utuhurumie, utusikilize *2 • Mwenye kuketi kuume kwa Baba, • Pekee yako mkuu ewe Yesu Kristu *2 • Pamoja na Roho Mtakatifu, • Katika utukufu wa Mungu Amina *2
#############################
