Annoint Amani NIMEGOMA KUFA official audio
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=XlqNJz3P-68
#nimegomakufa#annointamani# • nimeimba wimbo huu nikiwa kwenye pito gumu sana,lakin Bwana amenivusha π, • nataka ujue kuwa Hatutakufa kabra ya wakati wa Mungu , • Kwa kadri wanavyo tushambulia ndivyo wanatupa ushuhuda wa kumpa Mungu wetu heshima na utukufu, • Na Mungu amekataa tusife ili atutumie sisi kuishangaza dunia , • ( HATA KAMA UMEZUNGUKWA NA MAADUI PANDE ZOTE ,USIOGOPE,WALIO UPANDE WAKO NI WENGI KULIKO HAO ADUI ZAKO ) • π • Mtunzi na mwimbaji Annoint Amani • +255767240181 = +255755099942 ) • π • Audio Pamoja Record prod by • Nas b +255 764 111 192 .) • Dar es Salaam Tanzania )
#############################
