Msikilize huyu Mwandishi wa Habari
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=Z-FTxRb7rNk
Projestus Binamungu ni mwandishi wa habari kutoka Star Tv (Sahara Media Group) aliyejipatia mafanikio makubwa katika tasnia ya habari. • Leo anazungumza kwa ufupi na wanahabari wenzake kupitia BMG Habari #PamojaDaima juu ya kufikiria kuwa na kazi ya ziada hata kama umeajiriwa.
#############################
