Yanga Princess 03 Simba Queens Highlights Ligi ya Wanawake 05032021
YOUR LINK HERE:
http://youtube.com/watch?v=ZNBcx_XUfK4
YANGA VS SIMBA: Timu ya Wanawake ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Princess katika mchezo wa ligi ya wanawake uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. • Magoli ya Simba kwenye mchezo huu yamefungwa na Mwanahamisi Omary, Opah Clement na Joell Bukuru. • Ushindi huu umeifanya Simba ikae kileleni ikifikisha pointi 39 huku Yanga wakibaki na pointi zao 38 katika nafasi ya pili. • Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- • ►INSTAGRAM: / azamtvtz • ►INSTAGRAM: / azamsports2 • ►TWITTER: / azamtvtz • ►FACEBOOK: / azamtvtz • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#############################
