BENSOUL PEDDI 420 Vibes SMS Skiza 8549276 to 811











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=ZQO5GcNbATc

QWARANTUNES (EP) OUT NOW: http://africori.to/qwarantunes • PEDDI is the fourth and final Qwarantune that I am writing during this period. • Jifungie na ujiwashie yako, kama kawa kama dawa! Happy 4/20 month. #StayHome #WithMe • • Written and performed by: Bensoul • Prod by: Bensoul, Mbogua (M3) Trevor Magak • Mixed and mastered by: Trevor Magak. • Video by: direktorkay • LYRICS • Nakuona kwenye lockdown yeah • Ningependa kuwa around bebe • Tungekuwa tumewasha • Ningekuwa nikimash up. • Kwenye picha weka hashtag • There's nothing better kama good love and laughter yeah! Sema kile unatafta • and I will give you more and more and more • Ka si bahati basi • Niambie ni wapi • Utapatana na manzi • Hayuko kila pahali yeah • Hana chali • Hapendangi makali • Hapendangi maganji • Atakupenda kila hali • Haka kamali si kalocal ni kashashamane • Hako kafigure ni kale ni kanamba nane • Takuwa noma mi na wewe tukijabulani • Jabulani • • Kama unatafuta peddi • Peddi wa mapenzi • Hii yangu ni heavy • I hope uko ready • nikuwe your peddi • Si nikuwe your peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • Mimi na wewe ni pare • Toka 7 hadi ngware • Karibia niigware • Na usiseme ni sare • We ni Jay mi ni nare • You're the one I wanna marry • Tusiende in a hurry , • will give you more and more and more • Juu underwater • Nimekuwa nikikuota • Nataka kuwa locked na somebody's daughter • Tukifika nyumbani hatutawahi toka • Tunaishi kileleni kama niko kwenye chopper • Haka kamali si kalocal ni kashashamane • Hako kafigure ni kale ni kanamba nane • Ningependa tu kuona tukijabulani • Jabulani • Kama unatafuta peddi • Peddi wa mapenzi • Hii yangu ni heavy • I hope uko ready • nikuwe your peddi • Si nikuwe your peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • Apenji apenji • Si nikuwe your Peddi • • FOLLOW BENSOUL ON: • Facebook:   / bensoulmusic   • Twitter:   / bensoulmusic   • Instagram:   / bensoulmusic  

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org