Walter Chilambo Kwa Kalvari Official Music Video
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=aZwXhjRPZIs
Music Video for “Kwa Kalvari by Walter Chilambo • Watch the latest music videos by Walter Chilambo: • • Walter Chilambo - Love On Fire (Offic... • Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp • Follow Walter Chilambo • Instagram: / walterchilambotz • YouTube: / walterchilambo • • Melody - Vivian Willium ( IG: vivian_willium) • Audio Production: Walter Chilambo (officiallovemusic_brand) • Video Production: XOG • Company: LMB films (IG: lmbfilms) • Wardrobe: (IG: mrs_walterchilambo) • • Muda Mwingi Nilipotea - Kwa Kalvari Lyrics • Muda mwingi nilipotea • Sikufahamu msalaba • Wala aliyenifilia kwa Kalvari • Rehema bure na neema • Samaha nalo nilipewa • Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari • Kwa neno lake Bwana Mungu • Nilijiona mimi mwovu • Nikageuka na kutubu kwa Kalvari • Rehema bure na neema • Samaha nalo nilipewa • Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari • Yote kwa Yesu namtolea • Ndiye mfalme wa pekee sasa • Kwa furaha nitamwimbia kwa Kalvari • Rehema bure na neema • Samaha nalo nilipewa • Ndipo aliponifungua kwa Kalvari • Jinsi pendo lilivyo kuu • Neema ilishuswa toka juu • Alitufanyia wokovu kwa Kalvari • Rehema bure na neema • Samaha nalo nilipewa • Ndipo aliponifunguaKwa Kalvari • #WALTERCHILAMBO #KWAKALVARI #LOVEMUSICBRAND
#############################
