Tuzitoke by Joefes













YOUR LINK HERE:


http://youtube.com/watch?v=bNKipINqdeI



Tuzitoke by Joefes | challenge • Kindly Subscribe: @Joefes • Stream: https://BlackMarket.lnk.to/tuzitoke • #blackmarketrecords #joefes #tuzitoke • Tuzitoke Lyrics; • Pasua mbili kachumbari ongezea pilipili haaaiyaa • Nimeleta mbogi si unipe discount ya mraia • Motura ni moto ukikula bigi utachomwa mbaiya • Haiyaa • Joint ya kilocal vibe pon vaibu nikufaiya • Alafu Sasa tuzitoke nani • Maji tunakata kama Mose nani • Haiyaa • Baraka ni Jose nani • Sifa ni za Mungu siku zote nani • Haiya • Zikinice tiffin tunashika flight • Tuko wapi mi na mbogi tupo site • Tuko na psych chaser itisha sprite • Alimada jug mbili na alisema ye ni nimshy • Hatukujudge Hapo tu hatukujudge • Keg ni ya Black haya bas ongeza jug • Njoti ya das ukidai ongeza bag • G bag na khat gbug na jug • Big G kwa Juala ya minji • Akibeba jaba mshow abebe mingi • Big G kwa Juala ya minji • Ukikuja base zisambaze ka injili • Alafu Sasa tuzitoke nani • Maji tunakata kama Mose nani • Haiyaa • Baraka ni Jose nani • Sifa ni za Mungu siku zote nani • Haiya • misa kwa bukla twaifanya ka kanisa • Sponsor ni father madenge ni masisters • Sote ni sinners tunataka assistance • So jaza spirit nijaze spirit • Usijaze sana nikilewa sinaga siri • Na usidrive hata ka hunaga speedi • Na usinijudge si shule we si piri • I'm not special si we hudenki pia • Ongeza volume ongeza beer • Ukitext crush man usiseme dear • Ka ni kiatu usijali kanyagia • Manyoka zikipita si tunakanyagia • Alafu Sasa tuzitoke nani • Maji tunakata kama Mose nani • Haiyaa • Baraka ni Jose nani • Sifa ni za Mungu siku zote nani • Haiya • Tuzitoke 3 Piece: • https://drive.google.com/drive/folder...

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org