MATAIFA YA ULIMWENGU OFFICIAL VIDEO St Pauls Students Choir University of Nairobi











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=bgbAnSHSvnU

Available on all Platforms: https://album.link/i/1752463683 • Performers: St Paul's Students' Choir - University of Nairobi • Producer: Verony Productions Ltd. • Copyright ©Verony Productions Ltd. • (Mataifa yote ya ulimwengu • Yatakusujudia ee Mungu (Mungu Baba) *2 • Mema uliyonitendea Mungu wangu ninashukuru • Jana leo nimeamka kesho sijui itakuwa vipi • Ninashukuru Mungu wangu leo • Na nyimbo nzuri ninaimba ili kesho nayo niwe salama • Nazo sifa zako, nitangaze pote } *2 • 1. Uamkapo asubuhi ndugu yangu, umshukuru Mungu, • Kwa jinsi alivyokulinda usiku wenye giza tororo, • Uimbe kwa furaha na kuchezacheza kwa madaha. • 2. Ufikapo safari yako ndugu yangu, umshukuru Mungu, • Kwa jinsi alivyokulinda kwa ajali za barabarani, • Uimbe kwa furaha na kuchezacheza kwa madaha. • 3. Shikaneni mikono sasa yote muinyanyue juu, • Semeni kwa shangwe na mbwebwe maneno haya kwa furaha, • Ameweza, Bwana Mungu kweli ameweza, ameweza.

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org