Uchambuzi wa michuano ya Euro2024 DW Kiswahili KurunziMichezo
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=bw7_jeGl03U
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye mashindano ya Ubingwa wa Ulaya - UEFA EURO 2024 yanafungua pazia lake Ijumaa 14.06.2024 hapa Ujerumani. Wenyeji Ujerumani wanatumai kupambana vilivyo na kunyakua kombe hilo kutoka kwa mabingwa watetezi Italia. Ufuatao ni uchambuzi wa Bruce Amani na Babu Abdalla kutoka dawati la michezo la DW Kiswahili. • #DWKiswahili #UEFA #euro2024 #DWMichezo
#############################
