Highlights Simba SC 00 Plateau United CAF CL 05122020
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=cNHLl7Pivkw
Mabingwa wa Tanzania Simba SC wamelazimishwa suluhu dhidi ya Plateau ya Nigeria katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali lakini wamefuzu hatua inayofuata kwa ushindi wa jumla wa bao 1-0 lililofungwa kwenye mchezo wa kwanza. • Tazama highlights za mchezo wa leo uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. • Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- • ►INSTAGRAM: / azamtvtz • ►INSTAGRAM: / azamsports2 • ►TWITTER: / azamtvtz • ►FACEBOOK: / azamtvtz • ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#############################