Yanga 41 Mtibwa Sugar Highlights NBC Premier League 16122023
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=cZl1b2I842Y
Hapa ilikuwa ni zamu ya Mtibwa Sugar kula kichpo, ikipigwa 4-1 kutoka kwa Yanga, mechi ya Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague ikipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. • Stephane Aziz Ki ammefunga mawili... moja dakika ya 45 kwa penati na lingine dakika ya 65 huku mengine yakitoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 76 na Mahlatse Makudubela 'Skudu' dakika ya 83.
#############################
