UFUGAJI WA KUKU WA KISASA
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=dDWpNAu4ys8
Mkulima Smart Initiatives ni watengenezaji wa Economy Chicken CAGES. • Economy chicken CAGES ni mfumo wa vichanja unaofaa kufugia kuku aina ya Kuku chotara, kuku wa mayai Layers na kuku wa nyama BROILERS. • Mfumo huu unaanza kufugia vifaranga wa siku moja mpaka anakuwa kuku mkubwa. • Kwasasa tunafanya ujenzi wa ECONOMY CHICKEN CAGES mikoa yote Tanzania 🇹🇿. Cages zinajengewa shambani kwa mteja. • Ukitaka kupata maelekezo kamili karibu ofisini kwetu Dodoma au kupata mafunzo zaidi:- • 1.Ingia YouTube Mkulima Smart TV • 2.Ingia YouTube Shamba Darasa TV • Au tupigi simu/WhatsApp us +255 713 178 868. • Karibu kwa huduma nzuri wakati wote. • #batterycage • #poultryfarming • #poultryfarmingequipment • #chickencages • #kukuwamayai
#############################
