FASIHI SIMULIZI MIGHANI MAJIGAMBO KIVUGO NYIMBO
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=dcV47c-mILI
Karibu mtahiniwa wa KCSE. Video hii inaagazia maswali ya Fasihi Simulizi yalifanywa katika mitihani iliyopita. Tutakusaidia kubaini kwa urahisi jinsi maswali tofauti kuhusu vipera aina tofauti yanapaswa kujibiwa. • Makinika!! • Pia unaweza ukataza video zingine za fasihi Simulizi kwa kufuata link hizi; • Utanzu wa nyimbo; • FASIHI SIMULIZI // UTANZU WA NYIMBO /... • utanzu wa hadithi/ kisasili; • FASIHI SIMULIZI // UTANZU WA HADITHI... • utanzu wa Ushairi/nyimbo; • FASIHI SIMULIZI // UTANZU WA USHAIRI... • mighani/majigambo/kivugo/nyimbo; • FASIHI SIMULIZI // MIGHANI // MAJIGA... • Ulumbi/ngomezi; • FASIHI SIMULIZI// ULUMBI // NGOMEZI//...
#############################
