NI WEWE MUNGU by Japhet Zabron SMS SKIZA 5961248 TO 811











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=e_lbudtnO_Y

SMS [skiza7740681] send to 811 to get this song as your skiza tune. • It's not my fault that I am poor, one day I will also be rich like them. You promised me that only death will separate us, my dear wife. Being poor is not a disability! • For this and more of your favorite #Patriotic #Zilizopendwa #Rhumba #Lingala and #Gospel songs from your favorite artists of all time, Subscribe to the Tamasha Records channel here: https://bit.ly/ChezaTamasha • Follow us on Social Media: • Facebook:   / youcanfeelth.  . • Twitter:   / tamasharecords   • © 2020 Tamasha Corporation Limited. All rights Reserved. • #TamashaArchives • • LYRICS • UFUKARA SIO KILEMA • Poverty is not a disability • Naamini unaenda utarudi, hata kama sio leo wala kesho • Mimi wako mama ahh, nawe wangu sheri mama • Mbona hivyo mwenzangu mama, waniacha gizani • I believe you are going and you will come back, even if it’s not today nor tomorrow • I’m your's dear and you are mine sheri • Why are you like that dear? You’re leaving me in the dark • Si onia yangu niwe masikini ooh, uamuzi wake mungu eeh mama • Ufukara ooh, bibi eeh, si kilema sheri mama • Naamini iko siku mama, nitakuwa kama wale… Fulani • Ufukara si kilema • It’s not my wish to be poor, it’s God’s decision dear • Poverty dear, it’s not a disability • I believe one-day dear, I will be like them…. the others • Poverty is not a disability • Naamini unaenda utarudi, hata kama sio leo wala kesho • Mimi wako mama ahh, nawe wangu sheri mama • Mbona hivyo mwenzangu mama, waniacha gizani • I believe you are going and you will come back, even if it’s not today nor tomorrow • I’m yours dear and you are mine sheri • Why are you like that dear? You’re leaving me in the dark • Si onia yangu niwe masikini ooh, uamuzi wake mungu eeh mama • Ufukara ooh, bibi eeh, si kilema sheri mama • Naamini iko siku mama, nitakuwa kama wale… Fulani • Ufukara si kilema • It’s not my wish to be poor, it’s God’s decision dear • Poverty dear, it’s not a disability • I believe one-day dear, I will be like them…. the others • Poverty is not a disability • Kumbuka mama mwenyewe uliapa eeh, • tutaishi tutenganishwe na kifo • Ninajuta sikujua ooh mama, kuishi kimapenzi • Remember you yourself swore, • We will live and only death will separate us • I regret I didn’t know dear, living in love • Eeh ukumbuke mama, aah sikua hivyo mwanzo • Eeh dunia kigeugeu, aah leo hivi, kesho vile mama • Eeh ufukara si kilema, aah ndio hali ya dunia • Hivyo sitavunjika moyo, siku yangu itafika na mimi ooh • Remember dear, I was not like that in the beginning • The world is changing, today this tomorrow that • Poverty is not a disability; it’s the world’s condition • I’ll therefore not lose hope, my day will arrive • THANKS for watching!!!

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org