Nini ilisababisha ajali ya ndege
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=fbi4QrKio3c
Halamashauri ya usafiri wa ndege nchini imeanzisha uchunguzi dhidi ya mkasa wa ndege uliosababisha vifo vya marubani wawili na wasafiri wanane. Uchunguzi huo unasemekana utahusisha mabaki ya ndege kuangaziwa kwa kina kubaini yaliyotendeka kabla na wakati wa ajali hiyo. Sam Gituku amekuwa akizungumza na baadhi ya wataalamu wa usafiri wa angani kubaini ni kipi huenda kilienda mrama na kusababisha ajali hiyo. • • • Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. • This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. • Follow us: • http://citizentv.co.ke • / citizentvkenya • / citizentvkenya • https://plus.google.com/+CitizenTVKenya • / citizentvkenya
#############################
