Ubongo Kids Webisode 20 Imba Elimisha Part 1
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=gDDYfJ75wXQ
Ubongo Kids Webisode 20 - Imba Elimisha Part 1 - the Tanzanian cartoon series as seen on TBC1! • Katuni hii ya Kiswahili inafundisha kuhusu namba inayokosekana. Mama Ndege, Uncle T na wanyama wengine wanashiriki kwenye mashindano ya kuimba. • Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com • Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. • http://ubongokids.com • / ubongokids • / ubongokids • / ubongotz • An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.
#############################
