MWANAUME NYOKA HADITHI ZA KISWAHILI KATUNI ZA KISWAHILI
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=gtbOLy28Q-s
MWANAUME NYOKA HADITHI ZA KISWAHILI • Hapo zamani katika Nchi palitokea Mfalme aliyekuwa mgonjwa,Baadae Mfalme alifariki na kukwachia madaraka Binti yake wa pekee,Ambapo Binti huyo anatokea kupingwa mno na watu wa Nchi hiyo,Watu waliamini kuwa Mwanamke ni dhaifu..Na asingeweza kuwa Kiongozi wa nchi.. • #hadithizakiswahili #katunizakiswahili #swahilifairytales
#############################