Watasema Sana TID Ft Nazizi











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=hKJ82ps_Vdo

Hati miliki ya kazi hii yote mali ya msanii aliyebobea miaka ya mwanzo ya karne ya 21 aliyetumia lakabu ya TID - yaani Top In Dar (Khalid Mohamed). • Huyu ni msanii wa Bongo Flava - Mziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania. Kazaliwa mwaka wa 1981. Alijitosa rasmi katika sanaa ya utunzi, uimbaji na uchezeshaji mwaka wa 1994 akiwa na kundi 'Black Gangsters.' Alianza taaluma yake ya usanii binafsi miaka mitano baadaye. Alipofika umri wa miaka 21 alisajiliwa na 'Poa Records.' • Kushamiri katika fani ya mziki kumempa umaarufu si nchini Tanzania tu ila pia bara zima ambapo ametuzwa mataji ya: • 2003: Tanzania Music Awards - Best Male Artist Best R B Artist. • 2005: Kisima Music Awards (Kenya) - Best Artist/Group from Tanzania. • 2008: Kisima Music Awards (Kenya) - Video of the Year from Tanzania ( Nyota Yako ) • Katika kibao hiki alimshirikisha malkia wa mziki wa ufokaji kutoka nchi ya Kenya, Nazizi Hirji. • Kibao kilichapishwa na U I Entertainment. • #TBT #Mziiki #Oldskoolbongomix #Bongoflava

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org