Nadia Mukami Wangu Lyrics ftSinaipei Tande











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=hXZyM6691PQ

💽 Welcome to EA Melody - Your Home For East African Music • ⏬ Stream/Download here: https://www.wakandadigital.com • 🎵 Nadia Mukami ft.Sinapei Tande - Wangu (Lyrics) • Artists Nationality - Kenya 🇰🇪 • 🔔 If you like our content(s), Please click the bell to stay updated • 📥 Send us your track(s) via our email: [email protected] or via telegram: https://t.me/eastafricamelody • ✅ Follow EAMelody's Spotify playlists • https://open.spotify.com/playlist/2Bt... • ⚡ Subsribe to covergenix for best music covers:    / covergenix   • ▶️ EA Melody •   / eamelody   •   / eastafricamelody   •   / eamelody_   • https://vm.tiktok.com/ZS56he2f/ • 🎤 Lyrics: Nadia Mukami ft.Sinapei Tande - Wangu • Verse 1 • (Nadia) • Wewe nani, unanipigia simu kama nani • Eti niachane mume wako nani • Unajua Nadia kweli mi ni nani? • (Sanaipei) • We ni nani, unampigia simu kama nani eeh • Ata utoe vya ndani • Atarudi hapa kwangu tu nyumbani eeh • (Nadia) • Anapenda vidogodogo • Mwenzako anavimumunya • Mwanamke unapenda zogo • Tafuta jambo hilo la kufanya • Chorus • (Nadia) • Oh oh ni wangu • Huyu nasema ni wangu • Oh oh ni wangu • Kubali yaishe ni wangu • (Sanaipei) • Oh oh ni wangu • Huyu nasema ni wangu • Oh oh ni wangu • Mwishowe yataisha ni wangu • Verse 2 • (Sanaipei) • Hivo vimesegi na kuficha simu havinishtui • Atachoka nawe, kwengine aende, yule hakagui • (Nadia) • Kelele ya chura haizui ng'ombe kunywa maji • Kwangu habanduki • Kwako hatoboki • Nakwama naye • (Sanaipei) • Anapenda wife material • Mwenzako anakudanganya • Mwanamke una kasoro • Tafuta jambo hilo la kufanya • Chorus • (Sanaipei) • Oh oh ni wangu • Huyu unasema ni wangu • Oh oh ni wangu • Mwishowe yataisha ni wangu • (Nadia) • Oh oh ni wangu • Huyu unasema ni wangu • Oh oh ni wangu • Kubali yaishe ni wangu • Bridge • (Nadia) • Mi sitakoma, koma, koma, koma • MI sitakoma koma koma mama yе • (Sanaipei) • Ntakukomoa komoa komoa komoa • Ntakukomoa komoa komoa msichana we • Chorus • (Sanaipei) • Oh oh ni wangu • Huyu unasеma ni wangu • Oh oh no wangu • Mwishowe yataisha ni wangu • (Nadia) • Oh oh ni wangu • Huyu unasema ni wangu • Oh oh ni wangu • Kubali yaishe ni wangu • End • ______________________ • Tags: • Nadia Mukami Sinapei Tande Nadia Mukami Wangu Lyrics Sinapei Tande Wangu Lyrics Wangu Lyrics Video Nadia Mukami Songs Sinapei Tande Songs Nadia Mukami Lyrics Sinapei Tande Lyrics EAMelody EastAfricaMelody • Nadia Mukami Sinapei Tande Nadia Mukami Wangu Lyrics Sinapei Tande Wangu Lyrics Wangu Lyrics Video Nadia Mukami Songs Sinapei Tande Songs Nadia Mukami Lyrics Sinapei Tande Lyrics EAMelody EastAfricaMelody • Nadia Mukami Sinapei Tande Nadia Mukami Wangu Lyrics Sinapei Tande Wangu Lyrics Wangu Lyrics Video Nadia Mukami Songs Sinapei Tande Songs Nadia Mukami Lyrics Sinapei Tande Lyrics EAMelody EastAfricaMelody • Nadia Mukami Sinapei Tande Nadia Mukami Wangu Lyrics Sinapei Tande Wangu Lyrics Wangu Lyrics Video Nadia Mukami Songs Sinapei Tande Songs Nadia Mukami Lyrics Sinapei Tande Lyrics EAMelody EastAfricaMelody • #NadiaMukami #Wangu #SinapeiTande #Lyrics #EAMelody

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org