Nikimwambia Waziri fulani ni mjinga hatofurahia Wadau Wafunguka Haki ya Uhuru wa Kujieleza
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=ha55UxOnZc8
#ijuesheria #freedom • TLS imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo asasi za kiraia toka sahemu mbalimbali nchini juu ya haki ya uhuru wa kujieleza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake kwa umma. Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 20 Mei 2024 jijini Dodoma.
#############################
