MATUKIO YA KUBAMBIKIWA KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA ARUSHA











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=ifaGHD7A9kM

MATUKIO YA KUBAMBIKIWA KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA ARUSHA • Ripoti mbalimbali zinaonyesha kuwa licha ya matukio mengi ya ukatili kwa mkoa wa Arusha kuripotiwa katika vyombo mbalimbali vya kisheria ikiwemo vituo vya polisi yamekuwa hayafikishwi mahakamani kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukosekana kwa Ushahidi. • Kwa mkoa wa Arusha Kati ya Julai 2021 hadi Julai 2022 matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia yaliyoripotiwa ni zaidi ya elfu tatu n amia saba, Yaliyochukuliwa hatua ni 334 kwa kufikishwa mahakamani, hukumu yakitolewa 156 na baadhi ya watuhumiwa kukutwa na hatia na wengine kuachiwa huru. • Kutokana na hali ina nifanya kufunga safari ya kumtafuta mmoja wa watu ambaye alinusurifa kufungwa jela kwa tuhuma za ubakaji na ulawiti wa wanafunzi 22 wa moja ya shule ya msingi inayopatikana mkoani Arusha.. • Sio mwingine ni mzee Jumanne Kingu mkazi wa eneo Kata ya Terati mkoani Arusha • .................................................................................................... • Kuwa wa kwanza kupata Habari mpya kwa Kusubscribe Channel Yetu ya Leo TV Online. • #SUBSCRIBE #LeoTVhabari #Kenya #Uganda #Tanzania #habarimpya #habarimpyaleo #marekani #usa #bbcswahili

#############################












Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org