Harmonize Atarudi Official Music Video UCHAMBUZI
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=jM531DmMqwg
Subscribes: / kidanistars • Atarudi Wimbo Mpya Kutoka Kwa msanii wa Bongo Fleva Harmonize Ambaye Yupo Chini Ya Wcb. • Wimbo Wa Atarudi Unazungumzia Juu ya Mwanaume aliyekimbiwa na Mkewe ambaye Alimpenda Sanaa na Kumuachia Majukumu Yote ya Kulea Familia. • Audio Ya wimbo Huu Umetengenezwa na Producer Bonga Kutoka Beta Sounda Studio Nafikiri Harmonize Ameamua Kumtumia Prodyuza Mwingine Ili Kuletea Taste Mpya Katika Muziki wake Cause Nyimbo Zake Nyingi Zimekuwa Zikitengenezwa Chini Ya Mtayarishaji Laizer Classic kutoka studio za Wasafi. • Wimbo Huu wa Atarudi Ni wimbo ambao harmonize anaamini Ipo Siku Mpenzi wake atarudi katika maisha yake baada ya kumkimbia kutokana na hali ngumu ya kimaisha. • Video ya wimbo Huu Tayari Imeshatoka na imetengenezwa Chini Ya Director maarufu kwa Sasa Kenny Kutoka Zoom production. • Na imefanyika Nchini Nigeria • Kilichovutia katika Video ya wimbo Huu Ni uhalisia wa mazingira ya yaliyotumika kuakisi Dhima hasa ya wimbo ambao unazungumzia hali ngumu ya maisha na huu sio wimbo wa kwanza harmonize kuimba akiwa katika mazingira hayo kwani kama unakumbuka hata wimbo wa matatizo Pia Ulikuwa unazungumzia hali ngumu ya maisha yake. • Kwenye Kubadilika katika kuvaa uhusika uwezo kubisha juu ya uwezo wa harmonize kwenye Hilo kwani moja yya sifa ya msanii ni kubadilika kutokana na maudhui ya wimbo. • Ubunifu wa Director Pia Umeongeza Chachu Ya Video Hii Kuwa na mvuto wa kipekee pale Harmonize Akiwa Amezeeka Ndio Mkewe Anarudi Naye Pia Akiwa Amezeeka Sana. • Video Tayari Ipo Youtube na Viewers wanapanda kutokana na kutazamwa mara nyingi Zaidi ikiwa Haina Muda Mrefu Toka Iachiwe Jambo Linaloashiria kuwa ni Mwanzo Mzuri Video Hii kufanya Vyema ndani ya Youtube. • • So Sio Mbaya Ukadrop comment yako Video Umeionaje Itakuwa Mzuka Zaidi. • Subscribes: / kidanistars
#############################
