BIRYANI YA KUKU TAMU NA RAHISI KULIKO ZOTE YOUTUBE











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=jw1WF_lgHaU

Watumishi wake Baba, wangapi waliopo • Wanakula na kusaza chakula chake Baba • Nami nataabika hapa, nashiriki na nguruwe • Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi • Nitarudi na kusema baba yangu nisamehe • Nimekosa kwake Mungu na mbele yako baba • 2. Baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma • Akakimbia kumlaki kamkumbata na busu • 3.Baba yangu nimekosa ninaomba huruma • Unisamehe nirudi nikakutumikie • 4. Mimi sistahili tena kuitwa mwana wako • Unifanye kama mmoja wa watumishi wako • 5. Wanikaribisha mimi kwenye karamu yako • Meza imeandaliwa inaningoja mimi • 6. Nasogea ninakuja ninakukimbilia • Mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee • Heri ya pasaka! happy Easter, Bwana Yesu Amefufuka • #SautiTamu #Zilipendwa • . . . • #Mwanampotevu #Kwaresma #SautiTamu • Wimbo wa kwaresma • St. Paul's Praise and Worship Team • Catholic Students Community • University of Nairobi (UoN) • • Ni wimbo maarufu zamani wa kikatoliki unaoweza tumika katika kipindi cha kwaresma (lent), wakti wa huzuni, maombolezo, matanga, mazishi, toba, kuabudu, majuto na hata wakati wa kupokea ekaristi (komunio takatifu). • Harmony iliyotumika hapa imetoka kitabu cha nyimbo cha Tumshangilie Bwana. • • Related songs from Kenya Tanzania Catholic choirs include Baba yangu Ikiwa Haiwezekani, pasipo makosa mkombozi wetu, Mama pale msalabani, Asilegee Moyowe na Mwanzi Uliopondeka, Bwana kama ungehesabu maovu yetu nani angesimama, Nimekukimbilia wewe Bwana, Ataniita, Hii ni Kwaresma, Kwa Ishara ya Msalaba Tuokoe na Wakupeleka Hukumuni, Nchi Inazizima (Yuda Akarudi), • • Ni ile hadithi ya mwana mpotevu - the prodigal son - the lost son. • produced by Martin Mutua Munywoki • • Tazama nyimbo nyinginezo za kipindi cha kwaresma katika channel hii kama vile Asilegee Moyowe, Amin Amin Nawaambia, Watumishi wake Baba wangapi waliopo, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama, Yesu akalia kwa sauti kubwa, Baba mikononi mwako naiweka roho yangu, Mungu wangu mbona umeniacha, Pasipo Makosa, Kwa nini wasimama mbali, nimekukimbilia wewe Bwana, na nyinginezo. • These are most popular common Catholic Lent songs, holy week songs, Good Friday Songs, Holy Thursday Songs, passion of Christ. • • Tazama wimbo wa anayekula Mwili Wangu, nijaposema kwa lugha • Wasambazio na wenzao wanufaike

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org