Quick Rocka Ukimya Official Audio











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=l7iKzUJHERo

#QuickRocka #Ukimya • Lyrics; • Rocka ….. Quick • Wasi wasi wa mapenzi dhuluma, • Sio kama matatizo nayaweza mama yanauma • Mpaka kiza kinatanda unahisi hauonekani. • Sema me ndo Nakupenda najifanya kama sioni. • Mmmmh kwako kauli Sina, • Akili ndo inakutuma • Umedangamywa na ukimya • Leo penzi lageuka utumwa • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • Huwa nakuona unavyorudi night na malove bite • Mezani chakula hakuna ila navunga tu, • Hata unikute na furaha ntanuna tu • Au ndo ushajua I love you ! • Mmmmh kwako kauli Sina, • Akili ndo inakutuma • Umedangamywa na ukimya • Leo penzi lageuka utumwa • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • Ukimya wangu sio uwoga (Maumivu) • *I don’t know what’s killing me more,talking to you or not talking to you…. If you could read my mind right now you’d be in tears * • Rocka … Switcherbaba • • (C) Switch Music • • Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: • https://ffm.to/quickrocka • Written Performed by Quick Rocka • Follow QuickRocka on: •   / quickrocka   •   / quickrocka   • • Channel Administered by Slide Digital • Instagram:   / slidedigitaltz  

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org