>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=l8BRBOZBxjE
Download or listen online: https://mdundo.com/song/2161764 • Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania • Producer: Verony Productions Ltd. • Composer: R. Masanja • Copyright ©Verony Productions Ltd. • Nani ni nani, ni nani ni nani, • Ni nani ni nani, nani kama Mungu • Mwenye uwezo, na mwenye ukuu • Ni nani ni nani nani kama Mungu • Ameniumba, jinsi nilivyo, nipendezavyo ni nani kama Mungu • Niseme nini, niimbe nini, nilie vipi, ni nani kama Mungu. • Tazama jua, mwezi na nyota, mbingu na nchi, ni nani kama Mungu, • Nao usiku, jua li wapi, ni maajabu ni nani kama Mungu. • Ananilinda, mchana kutwa, pia usiku, ni nani kama Mungu • Nikitembea, nikisimama, ananilinda , ni nani kama Mungu. • Tazama ndege wa msituni wanavyoishi , ni nani kama Mungu • Hawana shamba wala vilenge anawalisha , ni nani kama Mungu. • Na maarifa, tuliyonayo, yeye katupa, ni nani kama Mungu • Njooni pamoja, tumuimbie, na tumsifu, ni nani kama Mungu.
#############################
