SIJAONA KAMA WEWE PATRICK KUBUYA LYRIC VIDEO











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=lfIpJoOc4qM

Music Video for Sijaona” by Walter Chilambo • Watch the latest music videos by Walter Chilambo: •    • Walter Chilambo - Love On Fire (Offic...   • Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp • Follow Walter Chilambo • Instagram:   / walterchilambotz   • YouTube:    / walterchilambo   • • Download Stream here: https://walterchilambo.lnk.to/loveonfire • Song : Sijaona • Produced by : Kaka Erry • Mix Mastering by : Walter Chilambo • Video Director By : Yotham Lyobha (Ylf Studio) • Audio Production : LOVE MUSIC BRAND • LYRICS • Intro ; aaahhh Thank you Jesus, • Thank You Lord,Hallelujah • Sijaona Kama wewe sijaona • Sijaona kama weweee bwanaa • CHORUS • Sijaona kama wewe eeehhh • Sijaona kama wewe eehh Bwana • VERSE 1 • Nimekukimbilia wewe ili nisiaibike • Nakinywa changu kinene utukufu kwako milele • Nisiwe mbali na uso wako,na kweli yako inifunike • Giza litapotanda,Nuru yako inimulike • Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu • sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu • tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu • utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh • CHORUS • Sijaona kama wewe eeehhh • Sijaona kama wewe bwanaa • VERSE 2 • Nitatangaza ushindi asubuhi na mapema • Maana vita yangu YESU ni wewe umenishindia • Na lile vazi la aibu ukanitoa ukanivika la heshima • niseme nini Bwana hakuna kama wewe eeehh • Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu • sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu • tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu • CHORUS • Sijaona kama wewe • Sijaona kama wewe bwanaaa • utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org