Walter Chilambo SIJAONA Official Music Video For SKIZA dial 811402
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=lfIpJoOc4qM
Music Video for Sijaona” by Walter Chilambo • Watch the latest music videos by Walter Chilambo: • • Walter Chilambo - Love On Fire (Offic... • Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp • Follow Walter Chilambo • Instagram: / walterchilambotz • YouTube: / walterchilambo • • Download Stream here: https://walterchilambo.lnk.to/loveonfire • Song : Sijaona • Produced by : Kaka Erry • Mix Mastering by : Walter Chilambo • Video Director By : Yotham Lyobha (Ylf Studio) • Audio Production : LOVE MUSIC BRAND • LYRICS • Intro ; aaahhh Thank you Jesus, • Thank You Lord,Hallelujah • Sijaona Kama wewe sijaona • Sijaona kama weweee bwanaa • CHORUS • Sijaona kama wewe eeehhh • Sijaona kama wewe eehh Bwana • VERSE 1 • Nimekukimbilia wewe ili nisiaibike • Nakinywa changu kinene utukufu kwako milele • Nisiwe mbali na uso wako,na kweli yako inifunike • Giza litapotanda,Nuru yako inimulike • Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu • sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu • tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu • utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh • CHORUS • Sijaona kama wewe eeehhh • Sijaona kama wewe bwanaa • VERSE 2 • Nitatangaza ushindi asubuhi na mapema • Maana vita yangu YESU ni wewe umenishindia • Na lile vazi la aibu ukanitoa ukanivika la heshima • niseme nini Bwana hakuna kama wewe eeehh • Nitakuimbia Zaburi,wimbo wa moyo wangu • sitoacha kukusifu,ewe MUNGU wangu • tena kwa wingi wa fadhili,na wema wako kwangu • CHORUS • Sijaona kama wewe • Sijaona kama wewe bwanaaa • utadumu milele ,maishani mwangu uuuuuhh
#############################
