Walter Chilambo Namba Moja Official Music Video
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=lsTKABq1UAI
Music Video for Namba Moja” by Walter Chilambo • Watch the latest music videos by Walter Chilambo: • • Walter Chilambo - Love On Fire (Offic... • Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp • Follow Walter Chilambo • Instagram: / walterchilambotz • YouTube: / walterchilambo • • Audio Producer: Walter Chilambo • Studio: Love Music Brand (IG: officiallovemusic_brand) • Video Production: LMB FILMS • Company: Love Music Brand • Wardrobe: (IG: mrs_walterchilambo) • Namba Moja Lyrics • Wacha niseme, we ni namba moja • Umenifanya wa thamani wa pekee • Hakuna kama we, na sioni mwingine tena • Wakufanana nae, ila ni wewe Bwana • Wakufanana nae, ila ni wewe Bwana • And I believe, ni wewe pekee yako • And I believe, bila wewe nisingekuwepo • Maana uliniumba, kwa mfano wako we • Huo ni upendo usiolezeka • Uzuri na sifa zako, nitaimba milele • Ili wajue we ni, namba moja • Kwa maana uliniumba kwa mfano wako we • Huo ni upendo usiolezeka • Uzuri na sifa zako nitaimba mileleIli wajue we ni, namba moja • We ni namba moja (we ni namba moja) • We ni namba moja (namba moja) • We ni namba moja (namba one) (namba one) • Namba moja • We ni namba moja (namba moja) • We ni namba moja, namba moja • We ni namba moja, namba moja • We ni namba moja, namba moja • Umekuwa mwaminifu, tena kwangu ni mwema • Umenipa uvumilivu, nimesimama tena • Hatua za maisha yangu, wazijua vyema • Umekuwa mwaminifu, tena kwangu ni mwema • Umenipa uvumilivu, nimesimama tena • Hatua za maisha yangu, wazijua vyema • And I believe, we ni namba moja • And I believe, you're the only one • Only one God • We ni namba moja, only one God • We ni namba moja, namba moja • We ni namba moja, namba one • Namba one, namba moja • We ni namba moja, namba moja • We ni namba moja , namba moja • We ni namba moja , namba moja • We ni namba moja • Maana uliniumba kwa mfano wako we • Huo ni upendo usiolezeka • Uzuri na sifa zako nitaimba milele • Ili wajue we ni namba moja • And I believe, wewe ni namba moja • And I believe, wewe ni namba moja • Namba moja , namba moja • Namba moja • #WALTERCHILAMBO #NAMBAMOJA #LOVEMUSICBRAND
#############################
