Rose Muhando Bado Music Video Teaser
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=mDdm8nFFfCE
Bado Mungu wetu anaweza kufanya mambo makubwa sana katika maisha yetu hakuna la kumshinda yeye.Ungana na mimi kumtukuza Mungu kupitia wimbo huu.Usikate tamaaa songambele tumaini bado lipo kumbuka hakuna lakumshinda Mungu kwake yote yanawezekana.#RoseMuhando#Video#Teaser.
#############################
