WAAMU WAENZI TAMADUNI ZA JADI











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=nbC6_0PekoQ

Walisema wahenga 'muacha mila ni mtumwa' • Licha ya kuingiliana na watu wa tabaka mbali mbali,tofauti za mila na desturi,Waamu hawajaacha mila na tamaduni zao. • Hili limewatofautisha na wengi sana ulimwenguni hivyo basi ikawa chanzo cha kuvutia wengi kwenye kaunti ya Lamu. • Katika awamu ya ishirini na mbili ya tamasha za utamaduni,wageni wengi wamehudhuria kujionea wenyewe hali halisi ilivyo. • • • • • • • • #mombasa • #lamu • #ktb • #news • #culture • #cultureandheritage • #utalii

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org