AMENIWEKA huru kweli 40 NW
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=olcKmQDbprc
AMENIWEKA huru kweli (40 NW) • 40 #Nyimbozawokovu • 40 • 1. Ameniwaka huru kweli, • naimba sasa: Haleluya! • Kwa msalaba nimepata • kutoka katika utumwa. • Pambio: • Nimeokoka, nafurahi! • Na dhambi zangu zimetoka. • Nataka kumtumikia • Mwokozi wangu siku zote. • • 2. Zamani nilifungwa sana • kwa minyororo ya shetani, • nikamwendea Bwana Yesu, • akaniweka huru kweli. • • 3. Neema kubwa nilipata • kuacha njia ya mauti, • na nguvu ya wokovu huo • yanichukua siku zote. • • 4. Na siku moja nitafika • mbinguni kwake Mungu wangu. • Milele nitamhimidi • na kumwimbia kwa shukrani.
#############################
