MASHAMBULIZI YA ISRAEL TUNACHOKIJUA KUFIKIA SASA











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=oqqAMZY0KnE

#focusnewstanzaniatv1 ,#israel ,#palestine ,#gaza ,#hezbollah ,#yanga ,#simba • Tukiendelea kuangazia mzozo wa kivita huko Mashariki ya kati tunafahamishwa ya kwamba, baada ya wimbi la mashambulizi ya Israel kuzikumba benki zenye uhusiano na Hezbollah kote nchini Lebanon jana usiku, vyombo vya habari vya serikali ya Lebanon vimeripoti mashambulizi zaidi kusini mwa Lebanon katika saa chache zilizopita.

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org