BBC News Swahili
YOUR LINK HERE:
http://youtube.com/watch?v=pOizAXm2XvY
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua anakabiliwa na mchakato wa kwanza wa kumuondoa madarakani katika historia ya nchi hiyo, ambao unaweza kumsimamisha kabisa kushikilia wadhifa wake. • - • Gachagua anakabiliwa na madai kadhaa, yakiwemo ufisadi, kumhujumu rais, na kuchochea mgawanyiko wa kikabila madai ambayo ameyakanusha. • - • Katika video hii, Mwandishi wa BBC Jewel Kiriungi anaeleza matukio yaliyopelekea hali hii na kinachotarajiwa kufuata. • - • - • Picha: Anthony Irungu • Mtayarishaji: Clare Muthinji • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
#############################
