Serikali Yalifungia Gazeti la MwanaHalisi Kwa Miaka Miwili
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=pSXYIdnFXZ4
SUBSCRIBE NOW / uwazi1 • Serikali imesitisha uchapishaji na usambazaji wa gazeti la kila wiki la Mwanahalisi kwa kipindi cha miezi ishirini na minne kuanzia leo kufuatia mfululizo wa gazeti hilo kukiuka maadili, misingi na sheria za taaluma ya uandishi wa habari, kuandika habari za uongo, uchochezi na kuhatarisha usalama wa taifa. Zuio hilo pia linahusu toleo la mtandaoni la gazeti hili. Uamuzi huo umechukuliwa kwa mujibu wa kifungu cha 59 cha Sheria ya huduma za habari namba 12 ya mwaka 2017 ikiwa ni baada ya jitihada za muda mrefu za serikali kupitia idara ya habari maelezo kuwakumbusha wahariri wa gazeti hilo juu ya wajibu wa kufuata misingi ya taaluma bila mafanikio. • Hayo yameelezwa leo na Hassan Abbas, Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo wakati akizungumza na waandishi wa habari. • subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya… / uwazi1 • / uwazi1 • / uwazi1 • WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ • FACEBOOK: / globalpublis. . • TWITTER: / globalhabari • INSTAGRAM: / globalpubli. .
#############################
![](http://youtor.org/essay_main.png)