Mt Kizito Makuburi Tengeneza Njia Live Performance TBC Studios
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=pTRKJW38L5s
Mk 1:3 • “SAUTI YA MTU ALIAYE NYIKANI, ITENGENEZENI NJIA YA BWANA YANYOOSHENI MAPITO YAKE” • Karibu tuungane na mtunzi (Marehemu IP Nganga) kuutafakari ujumbe huu, huku nasi tukiiandaa mioyo yetu kwa kuisikia sauti ya Yohana aliaye nyikani, akitutaka tuitengeneze njia ya bwana ili apate kuzaliwa mioyoni mwetu.Channel Administered by Huru Digital • Instagram: / hurudigital
#############################
