Siasa za ubabe wa ukambani zachacha
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=pp5rqBUfIqA
Siasa kuhusu mustakabali wa maeneo ya Ukambani kisiasa zilizidi kuchacha Jumapili ya leo. Muda mfupi baada ya Magavana Charity Ngilu, Prof. Kivutha Kibwana na Dakta Alfred Mutua kutangaza kwamba wataunda vuguvugu la the People’s empowerment movement, aliyekuwa seneta wa Machakos Johnstone Muthama alitupilia mbali ajenda ya magavana hao akisema Kalonzo Musyoka ndiye kigogo wa siasa za Ukambani. Enock Sikolia na taarifa hiyo. • • • • Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. • This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. • Follow us: • http://citizentv.co.ke • / citizentvkenya • / citizentvkenya • https://plus.google.com/+CitizenTVKenya • / citizentvkenya
#############################
