JINSI YA KUJUA UMRI WA MIMBA Mbinu 3
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=q02Fv8aCcKU
Kwa mwanamke anapo gundua tu Kwamba ni Mjamzito/mimba, huenda swali lake kuu likawa, mimba yangu ni ya wiki ngapi? • Kwanza, hongera kwa kuanza safari hii mpya na kutazamia kuwa mama. Ni muhimu sana kwa mama kufahamu umri wa ujauzito wake, kwa kufanya hivi, ataweza kujua anacho stahili kufanya katika kila hatua. • Afya bora kwa mama ni muhimu sana anapokuwa na mimba kwani ina athiri afya ya mtoto wake, atakavyo zaliwa na atakavyo kua. Kufahamu umri wa ujauzito wako kunakusaidia kujua siku unayo tarajia kujifungua na utaweza kujitayarisha ipasavyo@drtobias_
#############################
