SPOSRTS AM Wachambuzi wasema Azam Vs Yanga ni vuta nikuvute Zanziabar
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=qLkA9CwPZgc
Kuelekea mchezo wa fainali ya CRDB Bank Federation Cup, wachambuzi wa kipindi cha #SportsAM Clecence Kunambi, Evans Mallya na Rashid Kejo wanasema kuna vita kati ya Djigui Diarra wa Yanga na Abdul Sopu wa Azam FC • Wachambuzi hao pia wakoshwa na namna mambo yalivyokuwa kwenye NBC Premier League msimu wa 2023/24. • Kazi kubwa iliyofanywa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, ushindani wa Mfungaji Bora na uwekezaji #AzamMedia na Benki ya NBC ni miongoni mwa mambo ambayo wachambuzi hao wanasema yaliyofanya ligi kuwa nzuri.
#############################