ASANTE YESU
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=rKvo_5EwI0k
Kwaya ya Mtakatifu Maria Magdalena kutoka kigango cha Mtakatifu Luka Mwinjili,Olmatejo Parokia ya Roho Mtakatifu - Ngarenaro Arusha.Wanatukaribisha kushiriki kutazama na Kusikiliza wimbo huu wa Kumshukuru Mungu.Wimbo huu ni utunzi wake Ray Ufunguo. Audio na video vimefanywa na RAJO Productions. Please support https://www.patreon.com/bePatron?u=77... • #rajoproductions #miminaneema #rajoproductions #asanteyesu
#############################
