Jopo la majaji3 kusikiliza kesi kuhusu kubanduliwa kwa Gachagua
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=rYE4RpigYsY
Mahakama kuu imewasilisha kesi za kupinga kuondolewa mamlakani kwa naibu rais Rigathi Gachagua kwa jaji mkuu Martha Koome kubuni jopo la majaji kusikiliza na kuamua kesi hiyo.Katika uamuzi wake,jaji Lawrence Mugambi alisema kesi hizo zimeibua maswala mazito ya kikatiba ,ambapo mwelekeo unahitajika kutoka kwa jaji mkuu. • Connect with KBC Online; • Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN • Follow us on Twitter: / kbcchannel1 • Find us on Facebook: / kbcchannel1tv • Check our website: https://www.kbc.co.ke/ • #KBCchannel1 #Kenya #News
#############################
