Yanga SC 51 ASAS FC Highlights CAF CL 26082023
>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=rik0_iwu-Wo
YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano. • Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor • Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanza….. • Tazama highlights....
#############################
![](http://youtor.org/essay_main.png)