Jinsi Ya Kupika Mikate Ya Chila Laini











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=s4PiXyTHZKU

Vipimo: • 1 kilo mchele, mchele wowote mkubwa utafaa kwajili ya kusaga, mchele wa Basmati ausagi vizuri • 3/4 Nazi ya cream • About 2 and 1/2 to 3 vikombe vya maji ya moto {Kwajili ya kuyayusha nazi } • 1 na 1/2 kikombe sukari • 1 sachet {7g} na 1 kijiko cha chai instant yeast • 1/2 kijiko cha chai hiliki • Mafuta ya kupikia • Link to Mikate Ya Chila Recipe --- http://www.farhatyummy.com/african-di... • • My website http://www.farhatyummy.com • Instangram   / farhatyummy   • Facebook   / farhat-yummy-food-208790805988110   • Twitter   / farhatyummy  

#############################









New on site
Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org