Serikali Yasisitiza Matumizi ya Mfumo wa MMama











>> YOUR LINK HERE: ___ http://youtube.com/watch?v=scymFl_IAYc

Mfumo ulianza kutumika Septemba 15, 2023 na hadi sasa Dharura 2816 za uzazi zimefanikishwa kwa kutumia mfumo wa m-mama na kuwezesha kuepusha vifo vinavyotokana na uzazi. • Mkoa wa Pwani umeingia mkataba na madereva ngazi ya jamii 112 ikihusisha madereva 14 kutoka halmashauri za Kibiti na Mafia wanaotumia boti • Jamii iendelee na matumizi ya Namba 115 wawapo na dharura itokanayo na uzazi wakati wa ujauzito, kujifungua na hadi siku 42 baada ya kujifungua na kwa mtoto mchanga siku 0-28. • #samiaapp • #kaziiendelee • #tumejipatanamama

#############################









Content Report
Youtor.org / YTube video Downloader © 2025

created by www.youtor.org